FINDING UBUNTU
“Dhaminia Ubuntu” ni filamu inayomzungumuzia shujaa wa Kongo, Maick Mutej, ambaye anaibuka kama mtetezi wa haki za binadamu akiwasaidia maelfu ya wakimbizi katika kambi ya wakimbizi ya Dzaleka haijalishi yeye mwenyewe anashida zake binafsi.
Saidia kupitia ununuzi! Sehemu ya mapato yote ya ukodishaji na ununuzi wa filamu yatatolewa kwa Fraternity without Borders kusaidia watoto yatima wa Congo na shirika la Ubuntu Nation.